Breaking News

Your Ad Spot

Feb 11, 2011

MAFUNZO YA WALIMISHAJI RIKA KUHUSU KUPIGAVITA MAAMBUKIZI UKIMWI MAKAZINI KATIKA KAMPUNI BINAFSI

WASHIRIKI wa mafunzo ya Waelimishaji rika katika mpango wa uthibiti wa maambukizi yaukiwmi mahali pa kazi, wakiwa katika picha ya pamoja  baada ya mafunzo yao ya siku tano yaliyomalizika leo, katika ukumbi wa hotel ya Blue Peal, Ubungo, Dar es Salaam. Jumla ya washiriki 32 walihudhuria mkutano huo ambao umeamdaaliwa na asasi ya Aids Coallition Tanzania (ABCT). 
Mwezeshaji wa kujitegemea,  Frank R. Mwakyoma, akitoa mada kuhusu ukimwi, katika mafunzo hayo. Wengine kutoka kulia ni washiriki wa mafunzo hayo, Nguya, Rosemary Israel na Martin.
Washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages