Breaking News

Your Ad Spot

Dec 9, 2011

HAPPY BIRTH-DAY YA BLOGGER KAPINGA

Henry Kapinga wa Blog yenu ya KAPINGAZ Blog jana Tarehe 8/12 ndio siku aliyozaliwa.

Anapenda kutumia kanafasi hii ya kipekee kuwashukuru wale wote waliompa hongera kwa kuukaribia uzee, sasa sijui kama ni wote mnaupenda uzee, manake fainali yake ni shughuli.

ASANTENI SANA!

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages