Breaking News

Your Ad Spot

Jun 15, 2012

NAPE AKUTANA NA WALIMU WA SEKONDARI NA MSINGI MUFINDI

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na walimu wa shule za msingi na sekondari wa Mufindi mkoani Iringa, alipokutana nao leo katika ukumbi wa Southern Highland mjini Mufindi
Walimu wakimsikiliza Nape alipokutana nao kuzingumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages