Breaking News

Your Ad Spot

Jul 1, 2014

ENGAGEMENT YA FAIZA NA JAMIL

CONGRATULATIONS TO FAIZA & JAMIL ON THEIR RECENT ENGAGEMENT, FAIZA DAUD NI BINTI WA KWANZA WA SAIDA & DAUD, FAIZA & JAMIL WALIAMUA KUWEKA UWAZI WAO KWA KUVISHANA PETE BAADA YA KUMALIZA SHERIA ZOTE ZINAZOTAKIWA, ILIKUWA NI SHEREHE NDOGO KAMA FAMILIA INAVYOSEMA LAKINI MIMI NASEMA ILIKUWA KAMA KASENDOFF VILE, NIMEPENDA MIPANGILIO ILIVYOPANGWA NA EVENT PLANNER PICADILLY IKIWA NI ENGAGEMENT YA KWANZA KURUSHWA HAPA BLOGUNI TOKEA MASHUGHULIBLOG ILIPOANZISHWA 5 YEARS BACK, NIMEPENDA NGUO YA FAIZA INDIAN SAREE RANGI NYEUPE NA ROYAL BLUE, FAMILY THEME WAS INDIAN, CHAKULA KITAMU TOKA KWA BARBECUE VILLAGE MSASANI, HUKU RAHA ORIGINAL & MASHAUZY CLASSIC WAKITURUSHA ROHO..........!!!!

FAIZA- INDIAN SAREE!!!!
WHEN WE SAY INDIAN WE MEAN IT
GORGEOUS MASHALLAH..!!!!
 UNYAYOOO!!!
DECOR....///  BY PICADILLY
I LOVE THE STAGE KAZI YA PICADILL DECOR UKITAKA AKUPAMBIE MCALL +715 557 774 MTEMBEE KWENYE BLOG YAKE KUONA KAZI ZAKE ZAIDI BONYEZA HAPA PICADILLYCATERERANDDECORBLOG
BEAUTIFUL STAGE, SIMPLE....!!! 
VITAMTAM HII NI PICADILLY DECOR...!!! UKO JUU KAKA
WAKWE WAKIINGIZA MAHARI
WAKIKABIDHI MAHARI KWA WAZAZI WA FAIZA
NANA AKIWA AUNT YAKE JAMILA JAMILA WAKIPOKEA MAHARI
BAADA YA FAMILIA KUPOKEA MAHARI, FAIZA AKIINGIA UKUMBINI
BABA NA MAMA WAKAMKABIDHI BINTI YAO MAHARI YAKE
MAHARI YA FAIZA YALIFUNGWA KWA UBUNIFU MKUBWA...!!!
WAZAZI WAKIKABIDHI MAHARI KWA BINTI YAO
SOMO FADYA NA WAZAZI WA FIAZA WAKIKABIDHI MAHARI KWA FAIZA
FAMILIA YA DAUDI KANYAU...!!!
JAMIL AKAJA KUKAMILISHA
JAMIL ALIINGIA MOJA KWA MOJA KWENDA KUMSALIMIA MCHUMBA WAKE
KISHA AKAMPA BUNCH OF RED ROSSE FLOWER...!!! MWENDO KITHUNGU TU
JAMIL AKIONYESHA PETE ANAYOMIVISHA MCHUMBA WAKE 
OMG TANZANITE RING...!!!, JIWE PEKEE LITAKALO TANZANIA TU...!!!
WILL YOU MARRY ME....!!!
YOU SEE MY TANZANITE ENGAGEMENT RING FROM MY HUSBAND TO BE...!!!
SIKU HIYO HIYO ILIKUWA BIRTHDAY JAMIL
SUPRISE CAKE FOR JAMIL
ANOTHER CAKE FROM JOKHA
CAKE YA JOKHA TO JAMIL
JAMIL AKIPEWA ZAWADI ZA BIRTHDAY!!
FAIZA AKIMPA ZAWADI MCHUMBA WAKE JAMIL
HATA KAMA HUJUI KUSOMA PICHA JE???
SAIDA AKAMPA MKWE MTARAJIWA ZAWADI
KITU HICHOOO!!!
MUNIRA AKIMPA MWANAYE ZAWADI
BURUDANI
TULIKUWA NA RAHA ORIGINAL & MASHAUZI CLASSIC 
ISHA UKO JUU HAPANA CHEZEYA ROGER ANALICHARAZAJE GITAA!!!
 YAHYA AKIMTUNZA DADA YAKE SAIDA
 SAIDA ALITUNZAJE LEO KWETUUUU....!!!
CHAKULA
PICADILLY SAVERS
SHUKRAN
 DAUD NA MKEWE SAIDA WAKITOA SHUKRAN KWA WAALIKWA..!!!
NYUSO
SAIDA JUNIOR, MTOTO WA NANA KANYAU
MY BESTO COUPLE!!!!
FAIZA & UNCLES
MUNIRA MAMA MZAZI WA JAMIL
HALIMA, ZENA & DIDA
TANT BOY SUPER STAR & SITTU MWASI M-KITI WA SERIKALI ZA MITAA ILALA
TIME & FRIEND
AMNE & FRIENDS
YAHYA & KEI
HUSNA MADOHORA & ASHURA TEACHER
ASHURA TEACHER & FRIEND
AISHA MAKAME
SALMA & SITTU
MY BEST FRIENDS, SHARIFFA, SAADA, ZAKIA & KHADIJJA
SHARIFFA MADENGE & HUBBY
TANISA FEREJ, DIDA & FRIEND
MAMA MZAZI WA SAIDA
SISTERZ NANA & FAIZA
MUZNE & HAJJAT JOHA SIMBA
FADYA & WIFIE HABIBA
ASYIA & HASINA MOO, MKE YA AWADH
MUZNE, SAIDA & SAADA
HAJJAT JOHA SIMBA (MYDADA)
SAIDA JUNIOR
NANA KANYAU PENDEZA SANA
PICADILL, SAIDA & DAUD
MNYAMAAAAA TISHA...!!!
FADYA ISAC & FAIZA-MWARI NA SOMO
TRUE FRIENDSHIP NEVER ENDS...!!!
JAMIL & HIS MAMA
WAKWE NA WAKWE ZAO
MUNIRA, MAMA MZAZI WA JAMIL & FAIZA
SOMO  & MWARI
FAIZA NA IRCKAT MDOGO WAKE...!!!
ZULEKHA, FAIZA & MUZNE
FADYA ISAC FASHIONISTA SOMO NA MWARI WAKE
BI FAIZA, MAMA MZAZI WA DAUDI
FADYA, ISAC, FAIZA & JOKHA
RAISI WA CHINA SAIDA KANYAU UMETISHAAA....!!!
TANISA, ARAFA & FAIZA
JAMIL, RAJABU & FAIZA
JOKHA, FAIZA & HASINA
DIDA & FRIEND
SHARIFFA & MARY
MUZNE & BINTI YAKE JOKHA & JAMIL
CHICHI & ROSE AIKE
ZULEKHA LODI
ARAFA LODI & JAMIL
FADYA & UMMY SISTERZ WITH LOVE
KIBABUDE, MNYAMAAA & FRIEND
KIBABUDE NA MAMA YAKE HAJJAT JOHA SIMBA
MUZNE & SAIDA
FAIZA NA BEST BEST FRIEND WAKE TANISA FEREJ, INSHALLAH M-MUNGU AWAWEKEE HIVYO HIVYO MPENDANE
SAIDA, JAMIL & MUZNE
HAPANA CHEZEYA MWANAMKE NYONYO
SAIDA & JAMIL, MKWE MTARAJIWA
RED CARPET
IRCKAT
SAIDA JUNIOR
NANA KANYAU
 
AUNY HELLEN
SAIDA DAUD, MAMA MZAZI WA FAIZA
NANA
 
WOMEN PRESIDAA ISHA MASHAUZI
HALIMA KAMUSI DIRECTOR HK's COLLECTION
SHAMSA HASSANO
AMNE-DRESS DESIGN BY BAHIYA LUMELEZI
DIDA
ROSE AIKE
FAUZIA BENBELA
MASOUD PICADILLY-EVENT PLANNER
YUSRA
BABA MZAZI WA FAIZA DAUD KANYAU
SHARIFFA KAVU: PICHA ZAIDI >BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages