Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai
Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea jana, ikiokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai
Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea jana, ikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Your Ad Spot
Jul 19, 2012
Home
Unlabelled
AJALI YA MELI: WABUNGE WAMFARIJI DK. SHEIN
AJALI YA MELI: WABUNGE WAMFARIJI DK. SHEIN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Poleni sana wenzetu huo ni msiba wetu sote
ReplyDelete