Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,kwa wananchi na kuwataka kufanya Ibada kwa Bidii,hata hivyo Mhe, Rais aliwakumbusha wananchi kufanya mambo muhimu yaliyowajibu kufanywa katika mwezi huo ili kufanikiwa hapa Duniani na kesho Akhera. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Your Ad Spot
Jul 19, 2012
Home
Unlabelled
DK. SHEIN ATOA RISALA KUUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHABNI
DK. SHEIN ATOA RISALA KUUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHABNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269