Katibu Mkuu wa Chadema, Wilbrod Salaa akiwasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mjini Dar es Salaam, kutii amri ya polisi iliyomtaka kutoa maelezo kuhusu madai yaliyotolewa na chama hicho juzi kati kwamba kuna njama zinafanywa na vyombo vya ulizni na usalama vya serikali kuwaua baadhi ya viongozi wa chama hicho. Kulia ni aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini,
Haya piteni hapa, Polisi akiwaonyesha njia Dk. Slaa na mwenzakeHamjambo? Dk. Slaaa akasalimia baadhi ya watu waliokuwa eneo hilo
Baadhi ya watu waliokuwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kutaka kujua kilichokuwa kikiendelea
Kisha akazungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na polisi
Harakati za siasa zikaendelea! wafuasi wakasukuma gari lake wakati akiondoka Picha na HABARI MSETO BLOG . Habari zaidi BONYEZA HAPA
mkuu tupo pamoja, Mkuu naona wizi unaibuka tena hasa sehemu za nje ya mji,kama Kipinguni, Gongolamboto....wizi sasa ni mchanamchana,...hawa polisi wasambae, maana hali ilivyo ngumu, tutafika pabaya!
ReplyDelete