Na Mwandishi Maalum.New York
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ( NUU) Mhe. Edward Lowassa (pichani), amewaasa Maafisa wa Ubalozi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, kutotetereka wala kuyumba pale inapowapasa kutoa misimamo kwa maslahi ya nchi yao.
Ametoa wasia huo wakati alipokuwa akitoa majumuisho ya ziara ya kamati yake, ziara ambayo pamoja na mambo mengine ililenga kujifunza na kujionea hali hali ya mazingira ya utendaji kazi ya maafisa wanaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa.
Akimnukuu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mhe. Lowassa alikuwa na haya ya kusema. HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269