Breaking News

Your Ad Spot

Aug 13, 2012

BONDIA WA KIKE, LULU KAYEGE AJIFUA KWA AJILI YA KUWAKABILI WAPINZANI WAKE



 Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Kondo Nassoro akimfundisha bondia chipkizi wa kike,Lulu Kayege Dar es salaam leo kwa ajili ya kujiandaa  na mashindano ya kumi bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni Dar es Salaam. Picha zaidi na habari kwa kina Bofya Ukurasa wetu wa Michezo HAPA 

1 comment:

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages