Breaking News

Your Ad Spot

Aug 13, 2012

MWINYI, MKAPA WAFUTURU NYUMBANI KWA BALOZI SEFUE

Rais Mstaafu awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo na viongozi mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mhe. Benjamim William Mkapa (kushoto),Jaji Mkuu Othman Chande (wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sadik Meck Sadik (watatu kushoto) pamoja na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue jana jioni wakati wa futari iliyoandaliwa nyumbani kwa Balozi Sefue jijini Dar es Salaam kwa ajili ya viongozi mbalimbali serikalini.(picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages