Nape akihutubia huku wazee wakimsikiliza kwa makini.
Sheik Khamis Ali Mbilikila akisoma dua baada ya futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Nape akishiriki kuomba dua baada ya futari. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro
Kina mama wakishiriki kuomba dua baada ya futari
Kina baba wakiomba dua baada ya futari hiyo
Nape, Bendera na Kingu wakiwa wamesimama baada ya futari hiyo.
Badhi ya waalikwa wakimshukuru Nape kwa kuandaa futari hiyo
Nape na mbunge wa zamani, Semindu Pawa wakifurahia jambo baada ya kuonana kwenye futru hiyo
Nape akiagana na mjumbe wa nyumba kumi Zuberi Fikirini baada ya futari. Mjumbe huyo ni mlemavu wa miguu
Kwanza Nape alikutana na mkuu wa mkoa wa zamani wa Morogoro Steven Mashishanga wakasalimiana kwa furaha na bashasha ya hali ya juu
Waumini walisali kwanza kabla ya futari
Kisha wakajumuka kufuru
Mashishanga, Fikiri juma wa mjini,Nape na wa mkoa petro kingu wakifuturu, futari iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapunda na Msaidizi wa Katibu NEC, Itikadi na Uenezi, Taifa, Okctavian wakifuturu
Babu akijisevia futari, wakati wa futru hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel; Bendera akijinafasi wakati wa futru hiyo
Kina mama wakifuturu
Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, Sixtus Mapunda akimshukuru Nape kwa kuandaa futari hiyo
ndugu wananchi msidanganywe kwa pipi wakati wenzenu wanakula keki, tunataka usawa ktk kila ngazi kuanzia ya chini mpaka ya juu , sio kufuturishana kwa danganya toto
ReplyDeleteTunashukuru kwa maoni yako, je wengine mnasemaje?
ReplyDeleteCCM IMEONESHA NJIA VYAMA VINGINE VINAPASWA KUIGA MFANO HUU...NAPE AMEWAUNGA MKONO NDUGU ZETU WAISLAMU KATIKA MFUNGO HUU WA RAMADHANI...
ReplyDeleteHuyo jamaa anayesema eti futari ni danganya toto namshangaa sana! lakini namuomba Ndugu Nape na Chama Cha Mapinduzi kwa jumla asife moyo maana watu hawawezi kukusifu kwa kila jambo hasa kama linakujenga kisiasa.
ReplyDeleteMbona sasa mmefuturiosha huko Morogoro tu, kulikuwa na agenda gani muhimu kuliko kwingine?
ReplyDelete