Breaking News

Your Ad Spot

Aug 19, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA KUMI YA KIJIJI CHA MATUMAINI CHA DODOMA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias Isuja katika sherehe za kuadhimisha miaka 10 ya kijiji cha Matumaini Mjini Dodoma, leo, Agust 18, 2012. Kijiji hicho kinalea yatima. Picha zaidi BOFYA HAPA TANZANIA VISION BLOG

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages