Breaking News

Your Ad Spot

Apr 9, 2014

BONDIA WA IRAN SAJJAD MEHRABI AWASILI NCHINI KUMKABILI CHEKA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABA SABA



Mdau wa Mchezo wa ngumi nchini Jay Msangi kulia akiwa na bondia Sajjad Mehrabi wa Iran wa pili kushoto mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa jumatano wengine kulia ni rais wa PST Emanuel Mlundwa na promota Mussa Kova anae promoti mpambano wa cheka na bondia huyo wa Iran picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mdau wa mchezo wa masumbwi nchi Jay Msang kulia na Promota Mussa Kova wakibadilishana namba za simu na bondia Sajjad Mehrab mara baada ya kuwasili katika uwanja wa kumataifa ya Julius Nyerere kwa ajili ya mpambano wake na Fransic Cheka utakaofanyika April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mdau wa mchezo wa masumbwi nchi Jay Msangi wa pili kulia na Promota Mussa Kova wakiongea na bondia Sajjad Mehrab mara baada ya kuwasili katika uwanja wa kumataifa ya Julius Nyerere kwa ajili ya mpambano wake na Fransic Cheka utakaofanyika April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam kulia ni kocha wa bondia huyo wa Iran Lolal Shamlo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages