Breaking News

Your Ad Spot

Apr 10, 2014

KINANA ANA KWA ANA NA RAIS KAGAME NCHINI RWANDA

Rais wa Rwanda, Paul Kagame, akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwa ajili ya mazungumzo baina yao kwenye Hoteli ya Serena, Mjini Kigali Rwanda, juzi. (Picha na Edward Mpogolo- Ofisi ya Katibu Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages