Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili
Uwanja wa Ndege wa Kigoma kuanza ziara ya siku tano mkoani humo jioni
hii.
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Walid Kaborou akimkaribisha Katibu Mkuu wa
CCM Abdulrahman Kinana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma. Kushoto ni
Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma, Mohamed Nyawenga na Katikati ya Kinana na
Dk. Kaborou ni Mjumbe wa NEC Balozi Ali Karume
Kijana wa UVCCM, Khadija Kanyoye akimvisha skavu Kinana Uwanja wa Ndege wa Kigoma
Kinana
akisindikizwa na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa Dk. Kaborou wakati akipita
katika paredi la UVCCM wakati alipopokelewa Uwanja wa Ndege wa Kigoma
Katibu
Mkuu wa CCM, Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa
mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu, Isaa Machibya Uwanja wa Ndege wa Kigoma.
Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ambaye pia
alitua Kigoma leo asubuhi
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsalimia Nape. Kulia ni Mkuu wa mkoa
wa Kigoma na Katikati yao ni Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mjumbe wa NEC, Kirumbe Ng'enda Uwanja wa Ndege wa Kigoma
Kinana akimsalimia Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Kigoma, Stanley Mkandawile, Uwanja wa Ndege wa Kigoma
Kinana akiondoka Uwanja wa Ndege wa Kigoma. Picha zote na theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269