Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao chake na Kamati ya Siasa ya mkoa wa Kigoma, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya mkoa huo, jana, Aprili 9, 2014. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mjumbe wa NEC, Balozi Ali Karume na kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa Dk. Walid Kaborou.
Balozi Dk. Ali Karume akizungumza kwenye kikao hicho cha Kamati ya Siasa mkoani Kigoma
Nape akizungumza kwenye kikao hicho cha Kinana na Kamati ya Siasa ya mkoa wa Kigoma
Wajumbe wa Ka,mati ya siasa ya mkoa wa Kigoma wakimsikiliza Kinana
Kinana akikagua mradi wa ujenzi wa fremu za biashara kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Kigoma
Nape akitazama aina ya mawe yanayotumiwa katika ujenzi wa mabanda hayo ya biashara. Picha zote na Bashir Nkoromo)
Your Ad Spot
Apr 9, 2014
Home
Unlabelled
KINANA AZUNGUMZA NA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA KIGOMA, AKAGUA MRADI WA MABANDA YA BIASHARA
KINANA AZUNGUMZA NA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA KIGOMA, AKAGUA MRADI WA MABANDA YA BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269