Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Ayamango, Kata ya Gallapo, akiwa katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ta Babati mkoani Manyara, leo, Mei 29, 2014.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Ayamango, Kata ya Gallapo, akiwa katika mwendelezo wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ta Babati mkoani Manyara, leo, Mei 29, 2014.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji hicho wakiwa wamelazimika kupanda kwenye miti ili kuweza kuwaona viongozi wa CCM wakiongozwa na Kinana kwenye mkutano huo wa Gallapo, leo
Katibu wa NEC, Itrikadi na Uenezi, Nape akivishwa mgolole na wazee wa kijiji hicho cha Ayamango, Kata ya Gallapo, wakati wa mkutano wa hadhara wa Kinana, akiwa katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ta Babati mkoani Manyara, leo, Mei 29, 2014.
Mabinti wa Kimasai, wakiwa kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Kinana katika kijiji cha Ayamango, Kata ya Gallapo, akiwa katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ta Babati mkoani Manyara, leo, Mei 29, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua shina la wakereketwa wajasiriamali la CCM kabla ya hutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Ayamango, Kata ya Gallapo, akiwa katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ta Babati mkoani Manyara, leo, Mei 29, 2014.
Kinana akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kukagua ujenzi wa Chuo cha Ualimu katika Kata ya Mamire, akiwa katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ta Babati mkoani Manyara, leo, Mei 29, 2014.
Kinana (wapili kushoto) akikagua majengo ya Chuo cha Ualimu kinachojengwa katika Kata ya Mamire, akiwa katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ta Babati mkoani Manyara, leo, Mei 29, 2014. Watatu kushoto ni Mbunge wa Babati Jitu. Picha na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog
Your Ad Spot
May 29, 2014
Home
Unlabelled
KINANA APIGA KAZI HADI VIJIJI VYA PEMBEZONI, BABATI VIJIJINI LEO
KINANA APIGA KAZI HADI VIJIJI VYA PEMBEZONI, BABATI VIJIJINI LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269