Mkuu
wa Mkoa Dodoma na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma Mhe.
Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa baraza hilo Mjini
Dodoma .
Mkuu
wa Mkoa Dodoma na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma Mhe.
Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa baraza hilo Mjini
Dodoma .
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) Raymond Mbilinyi
akiwasilisha majukumu ya Baraza hilo katika kusaidia mabaraza ya biasara
ya Mikoa na jinsi ya kukuza ushirikiano kati ya Serikali na Sekta
binafsi wakati wa mkutao wa baraza la biashara Dodoma lililokutanisha
viongozi wa wafanayabiashara wa chini na juu.
Wajumbe
wa baraza la biashara Mkoa wa Dodoma wakifuailia mada juu ya
ushirikiano wa serikali na sekta binafsi na kuzalisha fursa za uwekezaji
Mkoani Dodoma wakati wa Mkutano wa Baraza hilo.
Wajumbe
wa baraza la biashara Mkoa wa Dodoma wakifuailia mada juu ya
ushirikiano wa serikali na sekta binafsi na kuzalisha fursa za uwekezaji
Mkoani Dodoma wakati wa Mkutano wa Baraza hilo.
Mwenyekiti
wa wafanyabiashara wadogowadogo (wamachinga) Manispaa ya Dodoma Nobert
Donald akiwasilisha changamoto zinazowakabili wamachinga mbele ya
wajumbe wa mkutano wa baraza la biashara Mkoa wa Dodoma.
Mwenyekiti
wa wafanyabiashara, wakulima na wenyeviwanda Mkoa wa Dodoma (TCCIA)
Faustine Mwakalinga akiwasilisha mada juu ya fursa za kipekee za
uwekezaji katika Mkoa wa Dodoma na Changamoto zilizopo wakati wa Mkutano
wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma. (Picha zote na John Banda)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269