Breaking News

Your Ad Spot

Feb 12, 2015

Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, NHC mafunzoni Afrika Kusini

Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kuambatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Tumaini Thika jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.
Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukiwa katika picha ya pamoja nje ya Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini,  jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.
Mjumbe wa Kamati ya Maliasili na Mazingira Benedict Ole Nangoro, (kulia) akijadiliana jambo na Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani cha Shirika la Nyumba la Taifa, Fatuma Chillo.
Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukiwa katika picha ya pamoja nje ya Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini,  jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo

Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki uliofuatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukisikiliza maelezo ya namna mashine ya ufyatuaji matofali ya Hydraform inavyofanya kazi kutoka kwa Mtaalamu wa kampuni ya Hydraform ya Afrika Kusini,  jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.
  Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukisikiliza maelezo ya namna mashine ya ufyatuaji matofali ya Hydraform inavyofanya kazi kutoka kwa Mtaalamu wa kampuni ya Hydraform ya Afrika Kusini,  jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.

 Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukisikiliza maelezo ya kutoka kwa Mtaalamu wa kampuni ya Hydraform ya Afrika Kusini,  jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.

Katika picha ya pamoja nje ya ofisi za Kampuni za Hydraform Afrika Kusini leo.
 Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukisikiliza maelezo ya namna mashine ya ufyatuaji matofali ya Hydraform inavyofanya kazi kutoka kwa Mtaalamu wa kampuni ya Hydraform ya Afrika Kusini,  jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages