Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na
Nishati kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa
kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Waziri wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban (kulia) alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa
mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014
katika kikao kilichofanyika leo jioni ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
(kushoto) Naibu wake Haji Mwadini Makame,[Picha na Ikulu.)
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa
mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014
katika kikao kilichofanyika leo jioni ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
iliyosomwa na Waziri Ramadhan Abdalla Shaaban (hayupo pichani) mbele ya
Mwenyekiti wa KIkao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269