Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Mifugo na Uvuvi
kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi
cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo
asubuhi,[Picha na Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiongoza kikao cha Wizara ya Mifugo na Uvuvi
kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi
cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo
asubuhi ,[Picha na Ikulu. Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Idara zake mbali mbali wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Abdilah Jihadi Hassan (hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiongoza kikao cha Wizara ya Mifigo na Uvuvi
kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi
cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo
asubuhi ,[Picha na Ikulu.
Your Ad Spot
Feb 12, 2015
Home
Unlabelled
UONGOZI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WAZUNGUMZA NA DK.SHEIN
UONGOZI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WAZUNGUMZA NA DK.SHEIN
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269