Manchester
United imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Burnley katika mchezo
wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Old Trafford.
Sifa
zimuendee beki Chris Smalling aliyekuwa katika kiwango cha juu leo na
kufunga mabao mawili peke yake, dakika za sita na 45, wakati bao la tatu
la United lilifungwa na Robin van Persie kwa penalti.
Bao pekee la
Burnley katika mchezo huo, lilifungwa na Danny Ings dakka ya 12, ambalo
lilikuwa la kusawazisha kabla ya kuongezwa mawili.
JONES KAUMIA TENA |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269