Meneja wa Bima ya Afya NHIF
Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua
machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya
ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya
viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari
17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa
NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili
wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa bima ya afya (katikati),
Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani (kulia)
ni Kaimu Meneja wa CHF, Bw. Salvatory Okumu.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON,FULLSHANGWEBLOG
Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya
Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani akifungua mafunzo ya siku moja ya
viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam lengo la
mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana mpango wa kujiunga na NHIF
kupitia vikundi (KIKOA) ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa
bima ya afya (kulia) baadhi ya viongozi kutoka NHIF.
Kaimu Meneja wa CHF, Bw. Salvatory Okumu akifafanua kuhusiana kiwango cha uchangiaji kwa wajasiriamali.
Mwenyekiti UMMA SACCOS, Raphael Nangi akichangia mada wakati wa mafunzo hayo.
Viongozi wa SACCOS kutoka Wilaya
ya Temeke wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mafunzo hayo
yalioandaliwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF.
Kiongozi wa SACCOS akichangia mada.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269