Breaking News

Your Ad Spot

Feb 11, 2015

UONGOZI WIZARA YA AFYA WAKUTANA NA RAIS DK.ALI MOHAMED SHEIN LEO

KIF2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Afya  kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]KIF1Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Afya na Idara zake mbali mbali  wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Rashid Seif Suleiman  (hayupo pichani) alipokuwa  akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,,[Picha na Ikulu.]  KIF3Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo (kulia) akiwa pamoja na watendaji mbali mbali  wakimsikiliza Waziri  Rashid Seif Suleiman  (hayupo pichani) alipokuwa  akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni mbele ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]    KIF4 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Wizara ya Afya  kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni ,[Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages