Breaking News

Your Ad Spot

Feb 18, 2015

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MALIASILI NA UTALII YA BUNGE LA NORWAYOla Eluestuen

9
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akizungumza na Mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na Utalii ya Bunge la Norway,Ola Eluestuen (kushoto) na Balozi wa nchi hiyo hapa Tanzania Hanne-Mariekaarstad, walipofika ofisini kwake muda mfupi kabla ya kuzungumza na kamati nzima ya bunge hilo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages