Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
Umma Celina Kombani alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiongoza Ujumbe wa
Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi Waasisi wa Taifa leo.
Picha na Ikulu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani (aliyesimama) akisoma taarifa ya wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi Waasisi wa Taifa wakati wajumbe walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi (wengine) Mwenyekiti Vikabenga Nsa Kaisi (wa pili kushoto) na Aisha Ali Karume Mjumbe (kushoto),
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269