Bayern Munich inayoshiriki Ligi Kuu Ujerumani imemchapa, Hamburg mabao 8-0 siku ya jumamosi na kuendelea kuongoza ligi wakiwa nafasi yakwanza(Bundesliga).
Ila "The Bavarians" kama wanavyoitwa wamekua wakitoa vichapo vya nguvu sana katika miaka iliopita, Leo nakuletea Mechi 10 ambazo Bayern Munich walitumbukiza magoli Mengi sana katika Miaka 10 iliyopita (2005 - 2015).
March 10 2009 | Ligi ya Mabingwa Ulaya | Bayern Munich 7 - 0 Sporting Lisbon
November 21 2014 | Ligi ya Mabingwa Ulaya | Roma 1- 7 Bayern Munich
April 17 2010 | Ligi Kuu (Bundesliga) | Bayern Munich 7 - 0 Hannover
September 10 2011 | Ligi Kuu (Bundesliga) Bayern Munich 7 - 0 Freiburg
March 10 2012 | Ligi Kuu (Bundesliga) Bayern Munich 7 - 0 Hoffenham
March 13 2012 | Ligi ya Mabingwa Ulaya | Bayern Munich 7 - 0 Basel
December 7 2013 | Ligi Kuu (Bundesliga) | Werder Bremen 0 - 7 Bayern Munich
May 7 2011 | Ligi Kuu (Bundesliga) | St. Pauli 1 - 8 Bayern Munich
March 30 2013 | Ligi Kuu (Bundesliga) | Bayern Munich 9 - 2 Hamburg
Tuachie Comment Yako
kisha
Usisahau kutufollow ili habari kama hizi zisikupite Pindi tu tatakapo ziweka.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269