Akijibu
hoja zao Ndugu Abdulrahman Kinana amesema hawezi kujibu lolote kwa sasa
ili asije kuonekana amedanganya. lakini ameahidi kurudi kijijini hapo
baada ya mwezi mmoja mara baada ya kukutana na Mawaziri wa Wizara ya
Maliasili na Utalii na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi na kupata
taarifa juu ya ahadi ya Waziri Mkuu pamoja na viongozi wa halmashauri ya
wilaya ya Ngorongoro, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mkuu wa wilaya ya
Ngorongoro pamoja na mhifadhi wa Ngorongoro ili kuzungumzia suala hilo
kwa ajili ya kupata ufunbuzi wa kudumu.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE-NGORONGORO-ARUSHA) Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukisalimiana na Kaimu Mhifadhi Mkuu wa Ngorongoro Consevation Area Authority Bw. Bruno Kawasange
mara baada ya kuwasili katika katika ofisi hizo kwa ajili ya kuzungumza
na baraza la wafugaji, Wazee wa kimila na viongozi wa kata. Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia ngoma ya asili ya watu wa kabila la Wabarbaigi iliyokuwa ikitumbuizwa wakati wa mapokezi yake. Baadhi
ya viongozi mbalimbali waliohudhuria katika mkutano uliomkutanisha
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Baraza la Wafugaji,
Viongozi wa Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro na Wazee wa kimila. Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza katika mkutano huo. Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Bulati. Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
na mbunge wa jimbo la Ngorongoro na naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.
Saning’o Ole Telele wakishiriki kupaka rangi kwenye nyumba ya mganga wa
zahanati ya kijiji cha Bulati Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Nape Nnauye wakiondoka mara baada ya kushiriki katika ujenzi wa zahanati ya kijiji hicho cha Bulati. Kikundi
cha Ngoma kikitumbuiza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana wakati wa mapokezi yake katika kijiji cha Nainokanoka Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia Kikundi cha Ngoma kilipokuwa kikitumbuiza wakati wa mapokezi yawakati wa mapokezi yake katika kijiji cha Nainokanoka Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi mbalimbali wakati alipowasili katika kijiji cha Nainokanoka. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Mkuu wa mkoa wa Arusha Ndugu Daudi Felix Ntibenda akiwasalimia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Nai Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji Nainokanoka. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano huo. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mbuzi waliokabidhiwa kwa vikundi mbalimbali vya kata ya Nainokanoka. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika zoezi la kuhesabu mbuzi waliokuwa wakikabidhiwa kwa vikundi hivyo. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanahabari mara baada ya kukabidhi buzi hao kwa vikundi mbalimbali
Your Ad Spot
Mar 16, 2015
Home
Unlabelled
KINANA AAHIDI KUTAFUTA UFUMBUZI WA KUDUMU MGOGORO WA MIPAKA MBUGA YA NGORONGORO NA WANANCHI
KINANA AAHIDI KUTAFUTA UFUMBUZI WA KUDUMU MGOGORO WA MIPAKA MBUGA YA NGORONGORO NA WANANCHI
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269