Waziri huyo mkuu hata hivyo anawaomba wafuasi wake
wasubiri hadi matokeo kamili yatangazwe
wasubiri hadi matokeo kamili yatangazwe
Waziri mkuu David Cameron amepata ushindi mkubwa katika
uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Uingereza.
uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Uingereza.
Chama chake cha Conservative kimejipatia viti 330 huku
kile cha leba kikijipatia 232.
kile cha leba kikijipatia 232.
Cameron amesema kuwa anapania kuendelea kuiongoza
Uingereza ya pamoja .
Uingereza ya pamoja .
Shirika La BBC lilikisia kuwa Cameron na Chama chake
angepata ushindi wa maeneo bunge 329.
angepata ushindi wa maeneo bunge 329.
Chama cha Leba kimepata pigo kubwa huko Scotland kutoka
kwa chama cha kitaifa cha Scotland National Party SNP .
kwa chama cha kitaifa cha Scotland National Party SNP .
Cameron na Conservatives washinda uchaguzi wa Uingereza
Licha ya Matokeo hayo Mazuri huko Scotland ambapo SNP
ilisajili ushindi mkubwa wa majimbo 50 chama hicho hakikutamba katika maeneo ya
England na Wales.
ilisajili ushindi mkubwa wa majimbo 50 chama hicho hakikutamba katika maeneo ya
England na Wales.
Chama cha The Liberal Democrats wanaelekea kusajili
matokeo duni wakiwa tayari wameshinda viti vinane pekee.
matokeo duni wakiwa tayari wameshinda viti vinane pekee.
Nyota wa chama hicho (Lib Dems) Vince Cable, Ed Davey na
Danny Alexander wote wameshindwa katika uchaguzi huo.
Danny Alexander wote wameshindwa katika uchaguzi huo.
BBC ilikuwa imebashiri kuwa Conservative watasajili
ushindi katika maeneo bunge 329, Labour 233, the Lib Dems 8, SNP 56, Plaid
Cymru 3, UKIP2, Greens 1 na vyama vyengine vidogo viti 19.
ushindi katika maeneo bunge 329, Labour 233, the Lib Dems 8, SNP 56, Plaid
Cymru 3, UKIP2, Greens 1 na vyama vyengine vidogo viti 19.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269