Breaking News

Your Ad Spot

May 9, 2015

MVUA ZAACHA BAADHI YA FAMILIA BILA MAKAZI DAR ES SALAM

Baadhi ya nyumba zilizojegwa karibu na mkondo wa mto Mbezi, katika eneo la Kawe, Dar es Salaam, zimebomoka kufuatia mto huo kufurika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Picha hii imepigwa leo asubuhi. (Picha na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages