Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu
John Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika
nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es Salaam jana Mei
11, 2015. Marehemu John anatarajia kuzikwa keshokutwa nyumbani kwao Butiama.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwafariji wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu John Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo
zilizofanyika nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es
Salaam jana Mei 11, 2015.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini kitabu cha maombolezo cha msiba wa marehemu John Nyerere,
wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika nyumbani kwa Mama
Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es Salaam jana Mei 11, 2015. Marehemu
John anatarajia kuzikwa keshokutwa nyumbani kwao Butiama
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakati alipowasili nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani jijini Dar es
Salaam, leo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu
John Nyerere. Marehemu John
anatarajia kuzikwa kesho nyumbani kwao Butiama
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa,
wakati alipowasili nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani jijini Dar es
Salaam, leo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu
John Nyerere. Marehemu John anatarajia kuzikwa Mei 13, mwaka huu, Butiama
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na baadhi ya viongozi na waombolezaji nyumbani kwa Mama
Maria Nyerere Msasani jijini Dar es Salaam, leo wakati wa shughuli za
kuaga mwili wa marehemu John Nyerere. Picha zote na OMR
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269