Breaking News

Your Ad Spot

May 13, 2015

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NRC) KUONGEZA MAJIMBO

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Mstaafu Damiani Lubuva akizungumza kufungua mkutano  wa Tume hiyo na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika jana katika hoteli ya New Afrika Hotel, Jijini Dar es Salaam, kuhusu azma ya NEC kugawa Majimbo ya Uchaguzi.
 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Julius Malaba akifafanua njia zitakazotumika katika kugawa majimbo ya uchaguzi kwenye mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
 Mwenyekiti wa Tumeya uchaguzi Jaji Mstaafu, Damian Lubuva, akifafanua jambo wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
 Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba akichangia mada wakati wa mkutano wa Tume ya Uchaguzi na viongozi wa vyama vya siasa.
 Mwenyekiti wa Tume ya TAIFA YA Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauy, wakati wa Mkutano huo.
 Viongozi wa Tume ya Uchaguzi wakichukua maoni ya wachangiaji hoja katika mkutano huo na viongozi wa vyama vya siasa.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa mkutano wa Tume ya Taifa ya uchaguzi na vyama vya siasa
Mwenyekiti wa chama cha NLD Dk. Emmanuel Makaidi akizungumza wakati wa mkutano huo na kuitaka tume iache kufanya kazi wakati wa uchaguzi tu.(Picha zote na Adam Mzee)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages