Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi
la Mashujaa wa Algeria, leo Jumapili, Mei 10, 2015. Rais Kikwete yupo
nchini Algeria kwa ziara ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipewa maelezo wakati
alipotembelea Makumbusho ya Taifa la Algeria, Mjini Algiers, leo
Jumapili, Mei 10, 2015. Rais Kikwete yupo nchini Algeria kwa ziara ya
siku tatu.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269