Majina ya wachezaji wa timu ya simba na wa Yanga.
LIGI Kuu Tanzania Bara mceho wa watani wa jadi, Simba na Yanga umekwisha, Yanga wakiibuka na ushindi mnono wa bao 2-0.
Bao la kwanza la Yanga liliwekwa kimyani na shambuliaji Amissi Tambwe dakika ya 44.
Malimi
Busungu nae akamipa bao la pili na la kuongoza kwa timu yake hiyo dakika
ya 79 akimalizia mpira wa kurushwa wa Mbuyu Twite.
Dakika 90 zimemalizika, Yanga akiondoka na pointi tatu mhimu na kuendelea kujikita kileneni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara.
PICHA NA MUSSA MATEJA/GPL
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269