Breaking News

Your Ad Spot

Sep 27, 2015

MMILIKI WA UJIJIRAHAA BLOG KATIKA KIKAO CHA FAMILIA MBAGALA

 Mmiliki wa ujijirahaa blog wa pili kulia katika kikao cha familia kilicho fanyika kwa kaka mkubwa ambaye ni Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Athumani Bilali wa nne kulia, ambapo nikila baada ya miezi 3 hukutana na kuongelea mambo ya familia na kupanga kusomwa kisomo cha kuwakumbuka walio tangulia mbele ya haki na kukumbushana maswala mbalimbali ya kifamilia. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages