WATU wasiopungua
700 wamekufa, huku wengine 816 wakijeruhiwa jana jirani na mji
Mtakatifu wa Makka walikokwenda kuhiji ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa
moja ya nguzo muhimu katika Imani ya dini ya Kiislamu.Kwa mujibu wa
Baraza la Taasisi na Jumuiya za Kiiislam nchini, kati ya mahujaji
2,000,000 waliokwenda Saudi Arabia mwaka huu, 1,500 wanatoka
Tanzania.Kwa mujibu wa taarifa ya Sheikh Abu Bakari Zuberi Mufti wa Tanzania, kwa vyombo vya habari amesema tayari wamethibitisha kutokea vifo vya watu watano waliotokea Tanzania miongoni mwao mmoja ni raia wa Kenya na wengine wanne ni Watanzania.Amesema Watanzania waliotambuliwa hadi jana usiku wametajwa kuwa ni,

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269