Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka udongo katika kaburi la marehemu Kombani.
Spika wa Bunge, Anne Makinda akiweka udongo katika kaburi la marehemu Celina Kombani. Nyuma yake ni Samia Suluhu.
Mama Salma Kikwete naye akiweka udongo kwenye kaburi la Kombani.
Bwana Hemed Saleh Pongoleni ambaye ni mume wa marehemu akiweka shada la maua katika kaburi la mke wake, Celina Kombani.
Watoto wa marehemu wakiwa na mashada ya maua wakati wa maziko ya mama yao.
Viongozi mbalimbali wakishiriki maziko hayo.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Celina Kombani likiingizwa kaburini.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho mbele ya mwili wa
Waziri Celina Kombani katika Uwanja wa Jamhuri, mkoani Morogoro.
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiaga mwili wa Waziri Kombani leo.
Spika wa
Bunge, Mhe. Anne Makinda akitoa heshima zake mbele ya jeneza lenye mwili
wa Waziri Celina Kombani kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269