Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein. akisalimiana na Viongozi wa CCM
alipowasili katika viwanja vya garagara mtoni kwa ajili ya kuendelea na
mikutano yake ya kampeni Zanzibar kuomba ridhaa za Wananchi kumchagua
tena kuongoza Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohameid Shein, akisalimiana na Mama Fatma
Karume alipowasili katika viwanja vya garagara mtoni kwa ajili ya
mkutano wake wa kampeni.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Magharibi Ndg Yussuf Mohammed akizungumza na Wananchi na
WanaCCM katika viwanja vya garagara mtoni wakati wa mkutano wa kampeni
ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, na kuwatana Wananchi
kumpigia kura Dk Shein, ili kuzidi kuleta maendeleo katika Visiwa vya
Unguja na Pemba katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Wanachama
wa CCM wakiwa katika viwanja vya garagara wakihudhuria mkutano wa
kampeni ya mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, (P.T)
Wanachama
wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urai
kupitia CCM katika viwanja vya garagara Mtoni Zanzibar.
Mama
Fatma Karume akiwahutubia Wananchi wakati wa mkutano wa Kampeni ya
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika
viiwanja vya Garagara mtoni Zanzibar na kuwataka siku ikifika kutia kura
ya Ndio kwa Dk Ali Mohamed Shein,
Wananchi
wakimshangilia Mama Fatma Karume wakati akiwahutubia katika mkutano wa
Kempeni ya Mgombea ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed
Shein, katika viwanja vya garagara mtoni Zanzibar.
Wasaani
wa Bendi ya Moto wakitowa burudani kuhamasisha Wanachama wa CCM wakati
wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,
zilizofanyika viwanja vya garagara mtoni Zanzibar.
Mambo ya
Yomoto Bendi hayo katika viwanja vya mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais
wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika
viwanja vya garagara wakimuombea Kura Dk Shein, wakati wa kampeni yake.
Wanachama wa CCM wakifuatilia burudani hiyo wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea wa Urais wa Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia
Wananchi na Wanachama wa CCM katika viwanja vya garagara mtoni akiwa
katika mikutano yake ya kampeni ya kugombea Urais wa Zanzibar. kwa
kupata ridhaa za Wananchi kuongoza Zanzibar kwa Maendeleo ya Wananchi wa
Zanzibar katika sekta mbalimbali na kudumisha Amani na Utulivu katika
Visiwa vya Unguja na Pemba.
Wanachama
wa CCM wakishangilia wakati wa Mkutano wa kampeni uliofanyika katika
viwanja vya garagara mtoni Zanzibar na kutowa sera za CCM kwa kipindi
cha miaka mitano ijayo ya kipindi chake baada ya kupata ridhaa za
Wananchi kumpa kura ya Ndio.katika uchaguzi mkuu mwa huu.
Mwanachama
wa Chama cha Mapinduzi akifuatilia Sera za CCM wakati Mgombea wa Urais
wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa mkutano wake wa
kampeni katika viwanja vya garagara mtoni Zanzibar
Wanachama
wa CCM wakifuatilia Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa CCM Zanzibar
Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya garagara mtoni
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Welezo Zanzibar kupitia CCM Saada Mkuya
katika viwanja vya garagara mtoni Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtoni Zanzibar wakati wa mkutano wa kampeni
za Urais wa Zanzibar Dk Shein katika viwanja vya garagara mtoni
Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge wa
Jimbo la Mfenesini Zanzibar Kanali Mstaaf Khamis , wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika katika viwanja vya garagara mtoni Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea
Uwakilishi wakati wa mkutano wa kampeni za Urais zilizofanyika katika
viwanja vya garagara Zanzibar.
Mgombea
Uwakilishi wa Jimbo la Mfenesini Zanzibar Mhe Machano Othman akizungumza
kwa niaba ya wagombea wezake katika mkutano wa kampeni ya Urais wa
Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya garagara mtoni Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha
Wagombea wa Udiwani wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika
viwanja vya garagara mtoni Zanzibar.
Wanachama
wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa
Zanzibar kupitia CCM uliofanyika katika viwanja vya garagara mtoni
Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohameid Shein, akiagana na Viongozi wa CCM
baada ya kumalizika kwa mkutano wa Kampeni katika viwanja vya garagara
mtoni Zanzibar
Imetayarisha na (Othman Mapara).Blogspot. Zanzinews.com.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269