Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian
Lubuva akizungumza jambo na wamiliki wa vyombo mbalimbali vya Habari
(pichani hawapo) walipokutana Dar es Salaam leo Sarena, kuzungumzia
maswala ya uchaguzi wakati wa Mkutano wa Tume hiyo na Wamiliki wa vyombo vya habari uliofanyika katika Hoteli ya Sarena Jijini Dar es Salaam leo.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi Emanuel Kawishe
Wawakilishi wa nyombo vya habar
Wanahabari wakiwa kazini
wakati wa Mkutano wa Tume ya Uchaguzi walipokutana na Wamiliki wa
vyombo vya habari uliofanyika katika Hoteli ya Sarena Jijini Dar es
Salaam
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) aliyekaa Jaji Mstaafu Damian
Lubuva akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha wamiliki wa Vyombo vya
Habari Tanzania (MOAT) Rgnald Mengi wakati wa Mkutano wa Tume hiyo na
Wamiliki wa vyombo vya habari uliofanyika katika Hoteli ya Sarena Jijini
Dar es Salaam .
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269