Breaking News

Your Ad Spot

Oct 1, 2015

MAMA SAMIA AFUNIKA JIMBO LA MUSOMA MJINI LEO, MAELFU WAFURIKA KWEYE MKUTANO WAE WA KAMPENI

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mwisenge jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara leo
 Wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika leo katika eneo la  Mwisenge jimbo la Musoma mjini
 Wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika leo katika eneo la  Mwisenge jimbo la Musoma mjini
 Aliyekuwa ameomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Nkenge mkoani Kagera Asupta Mshama, akihutibiamaelfu ya wananchi leo katika eneo la Mwisenge jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara leo
 Wasanii wa Bongo Movie wakimsikiliza kwa makiniMgobea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia suluhu Hassan wakati wa kutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Mwisenge jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara
 Wasanii wa Bongo Movie wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samaia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mwisenge jimbo la Musoma mjini leo
 Baadhi ya waangalizi wa uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu, kutoka Jumuia ya Madola, wakifuatilia hali ya mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan, uliofanyika leo Mwisenge jimbo la Musoma mjini mkoani Mara
 Mmoja wa wananchi akimpongeza aliyekuwa muomba nia kugombea Ubunge jimbo la Nkenge Asupta Mshama baada ya kukongwa na hotuba aliyoitoa katika katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Mwisenge jimbo la Musoma mjini mkoani Mara
 Kina mama wa Jimbo la Musoma mjini wakimzawadaia mkeka  Mgombea Mwenza wa Urais kwa tikti ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mwisenge jimbo la Musoma mjini mkoani Mara
 Mgombea Ubunge jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo akizungumza katika msiba wa Ndugu yake, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM alipoenda kushiriki kuaga mwili wa marehemu huyo, Slyvanus Steven Mathayo, eneo la Kiagara, Butiama mkoani Mara, leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kutoa salam za rambirambi wakati wa kuaga mwili wa Ndugu yake Mgombea Ubunge jimbo la Musoma Mjini Vesastus Mathayo, eneo la Kiagara, Butiama mkoani Mara, leo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akitoa heshima kwa mwili wa ndugu wa mgombea Ubunge jimbo la Musoma Mjini Vedastus Mathayo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akitoa pole kwa familia ya Ndugu wa Mgombea Ubunge jimbo la Musoma mjini Vedastus 
Mathayo aliposhiriki kuaga mwili wa marehemu kwenye shughuli ya kuaga mwili huoiliyofanyika Kiagara, Butiama mkoani Mara, leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages