Ndugu
zake Mmliki wa ujijirahaa blog Khamisi Mussa, wakipata Nyama zinazo
andaliwa na kabila la Kimasai zinazochomwa kwa utaalamu wa hali ya juu
maeneo ya kitongoji cha Sangasanga Mkoani Morogoro. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mmiliki
wa ujijirahaa blog (wa pili kulia) katika picha ya pamoja na
wanafamilia safarini Ifakara tukiweka kambi ya muda kwa kupata nyama
kutoka kwa kabila la Kimasai wanao choma nyama kwa utaalamu wa hali ya
juu maeneo ya kitongoji cha Sangasanga Mkoani Morogoro
Furaha nderemo kwa ilitawala maeneo hayo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269