Msafara
wa Gari za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein zikiongozwa na mapikipiki wakati ukiwasili
katika Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskzani A Mkoa wa kaskazini
Unguja palipofanyika mkutano wa baraza la Eid EL Hajj
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Waziri wa katiba na Sheria Mhe,Abubar Khamis
Bakary mara alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni
katika Mkutano wa Baraza la Eid El Hajj akiwa mgeni rasmi katika baraza
hilo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame
mara alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni katika
Mkutano wa Baraza la Eid El Hajj akiwa mgeni rasmi katika baraza hilo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed
Shein akifuatana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame mara
alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni katika Mkutano
wa Baraza la Eid El Hajj akiwa mgeni rasmi katika baraza hilo leo kabla
ya kukagua gwaride rasmi la Sherehe hizo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed
Shein akipokea salamu ya heshma ya Gwaride la KIKOSI cha Polisi FFU mara
alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni katika Mkutano
wa Baraza la Eid El Hajj akiwa mgeni rasmi katika baraza hilo leo
(kushoto)Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiwa na Viongozi katika ukumbi wa Chuo cha Amali
Mkokotoni katika Mkutano wa Baraza la Eid El Hajj akiwa mgeni rasmi
katika baraza hilo leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akitoa hutuba yake kwa wananchi wa Zanzibar katika
Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Amali
Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini A,Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa ni
katika sherehe za Sikukuu ya Eid El Hajj.
Mke
wa Makamo wa Pili wa rais wa zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (mwenye
miwani) pamoja na Viongozi wengine mbali mbali wakiwa katika ukumbi wa
Chuo cha Amali Mkokotoni katika Mkutano wa Baraza la Eid El Hajj
lililofanyika leo,mgeni rasmi katika baraza hilo akiwa Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi
ya Viongozi na wananchi walioalikwa katika mkurano wa Baraza la Eid El
Hajj wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wialaya ya
Kaskazini A mkoa wa kakskazini Unguja,palipofanyika Baraza hilo katika
kusherehekea Sikukuu ya Eid El Hajj wakati mgeni rasmi akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed
Shein.

ya Viongozi wengine na Wazee na wananchi walioalikwa katika mkurano wa
Baraza la Eid El Hajj wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni
Wialaya ya Kaskazini A mkoa wa kakskazini Unguja,palipofanyika Baraza
hilo katika kusherehekea Sikukuu ya Eid El Hajj wakati mgeni rasmi
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Ali Mohamed Shein.
[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269