Mgombea wa urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na
Mama Napono Sokoine mke wa Waziri Mkuu wa Tanzania Marehemu Edward
Moringe Sokoine mara baada ya kuwasili nyumbani hapo Monduli juu kwa
ajili ya kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu na kukagua
nyumba ya familia inayojengwa na serikali ili kuboresha makazi ya
familia ya marehemu Edward Moringe Sokoine.
Kaburi la Marehemu Edward Moringe Sokoine.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na
Mama Napono Sokoine na mtoto wa marehemu Sokoine Namelok Sokoine kwenda
kuweka shada la maua katika kaburi hilo.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akishiriki sala
ya kumuombea marehemu wakati walipofika nyumbani kwa Marehemu Edward
Sokoine na kuweka shada la maua katika kaburi lake.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka shada
la maua kwenye kaburi la Marehemu Edward Moringe sokoine huko Manduli
juu wakati alipoitembelea familia hiyo.
Mke wa Marehemu Edward Moringe
Sokoine mama Napono Sokoine akisaidiwa kuweka shada la maua kwenye
kaburi la mumewe Edward marehemu Moringe Sokoine.
Namelok Sokoine ambaye pia ni
mgombea ubunge wa jimbo la Monduli naye akiweka shada la maua kwenye
kaburi la Marehemu baba yake Edward Moringe Sokoine.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli , Mama Napono
Sokoine kushoto na Namelok Sokoine wakishiriki ibada ya kumuombea
marehemu huko Monduli juu wakati Dk. John Pombe Magufuli alipokwenda na
kuweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Edward Sokoine.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na
mtoto wa marehemuEdward Moringe Sokoine Namelok mara baada ya kuweka
shada la maua kaburini.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na
baadhi ya wanajeshi wanaofanya kazi ya ujenzi wa nyumba ya familia ya
Sokoine inayojengwa na serikali wakati alipotembelea makazi ya familia
hiyo.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga picha
ya pamoja na familia ya marehemu Sokoine na baadhi ya wafanyakazi wa
Suma JKT mara baada ya kukagua ujenzi wa nyumba hiyo.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiagana na
Mama Napono Sokoine mara baada ya kuweka shada la maua katika kaburi la
marehemu Sokoine na kukagua ujenzi wa nyumba ya familia hiyo inayojengwa
na serikali.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269