Kaimu
Katibu Tawala Raymond Mapunda (wa katikati), amaye ni Ofisa Elimu wa
Dar es Salaam akifunga Mafunzo kwa waratibu wa Uchaguzi, wasimamizi wa
Uchaguzi,wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Maofisa
Uchaguzi, Mkoa wa Dar es Salaam leo, ambapo mafunzo hayo yalikuwa ya
siku mbili, wa kwanza kulia ni Mratibu Uchaguzi wa mkoa wa Mary Assey
na kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa
Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Msimamizi
wa Uchaguzi Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke
Photidas Kagimbo akizungumza jambo mara baada ya kufungwa mafunzo hayo
Dar es Salaam
Washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza mgeni rasmi mara alipokuwa akifunga mafunzo hayo
Kaimu
Mkuu wa Sehemu Kanda ya Kusini Crecencia Mayalla, akizungmza jambo na
waandishi wa habari baada ya kufungwa mafunzo kwa waratibuwa Uchaguzi,
wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wa wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya
Jimbo na Maafisa uchaguzi
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269