Mkutano
wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ukiendelea
katika uwanja wa Kwaraha,wilayani Babati mkoani Manyara , ambapo umati mkubwa wa watu ulijitokeza kusikiliza sera zake. (PICHA
NA MICHUZI JR-BABATI,MANYARA).
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia na kujinadi kwa
Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano huo wa
hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraha, mkoani Manyara.
Wakazi
wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake wakimshangilia Mgombea Urais
wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba
kura za kutosha ifikapo Oktoba 25 Mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu, ili
awe Rais wa Tanzania wa awamu ya tano.Mkutano huo wa hadhara uliofana
kwa kiasi kikubwa ulifanyika mjini humo katika uwanja wa Kwaraha, mkoni
Manyara.
Maelfu
ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa
Kwarahaa mapema kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli, alipokuwa akiwahutubia
mjini humo mkoa wa Manyara.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Babati wakishangilia jambo wakati mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia jioni ya kwenye
uwanja wa Kwaraha, mkoani Manyara.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha
Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akijinadi mbele ya Wakazi wa mji
wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika
katika uwanja wa Kwaraha, mkoani Manyara.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea Ubunge,Mbunge
wa Babati vijijini Ndugu Jitu Soni ambaye tayari alikwisha kabidhiwa
kitabu cha Ilani ya CCM
Maelfu
ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa
Kwarahaa kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia
mjini humo mkoa wa Manyara.
Mgombea
Ubunge wa jimbo la Hanang,Mama Mary Nagu akimuombea kura mgombea Urais
wa CCM Dkt Magufuli kwa wakazi wa mji wa Babati mjini jioni ya leo
kwenye mkutano wa kampeni,uliofanyika katika uwanja wa kwaraha.
Maelfu
ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa
Kwarahaa kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia
mjini humo mkoa wa Manyara.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa
mji wa Kondoa kwenye uwanja wa sabasaba,amapo mkutano
wa hadhara wa kampeni ulifanyika.Dkt Magufuli akitokea mkoani Singida
kuelekea mkoani Manyara kuendelea na kampeni zake za kusaka
Urais, aliwahutubia wakazi wa wilaya ya Chemba,wilaya ya Kondoa,na
vitongoji vingene kadhaa na hatimae kuibukia wilayani Babati na
kuhutubia mkutano mkubwa katika uwanja wa Kwaraha.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269