Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye viwanja
vya mikutano vya Peoples kuhutubia wakazi wa Singida mjini.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi Singida
mjini kwenye uwanja wa mikutano wa Peoples ambapo aliwaambia wakazi hao
kuwa ataibadilisha Singida na kuufanya kuwa mji wa Biashara, pia
aliwaambia vijana wanafunzi wa vyuo kuwa atahakikisha wanapata mikopo
kwa wakati, mikopo kwa vijana na wakina mama .
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi
wa Singida mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za
CCM.
Mgombea
wa Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akitoa salaam za
shukrani kwa Mbunge wa Singida mjini anayemaliza muda wake Ndugu Mohamed
Dewji (kushoto) na Mkuu wa mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone
kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea wa
ubunge wa jimbo la Singida kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwenye
mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Peoples.
Mbunge wa
Viti Maalum mtarajiwa Aysha-Rose Matembe akiwasalimu wakazi wa Singida
mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Kutoka
kulia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Mwigulu Nchemba akipiga push
ups pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Singida mjini Ndugu Mussa Sima
(katikati) na Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro
Nyalandu.
Wakazi wa Singida mjini wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti
wa UWT mkoa wa Singida Diana Chilolo akihutubia wakazi wa Singida mjini
waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais
kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea
Ubunge wa jimbo la Iramba Mwigulu Nchemba akihutubia wakazi wa Singida
mjini waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM
Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea
ubunge wa jimbo la Bumbuli Ndugu January Makamba akihutubia wakazi wa
Singida mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Ndugu Lazaro Nyalandu akihutubia
wakazi wa Singida mjini kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa
Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mbunge wa
Jimbo la Singida mjini anayemaliza muda wake Ndugu Mohamed Dewji
akihutubia wakazi wa Singida mjini kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Umati wa wakazi wa Singida mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
Msafara wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ukiwasili kata ya Sepuka .
Mwigulu Nchemba akimkaribisha Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alipowasili Sepuka.
Wakazi wa Sepuka wakishangilia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Iramba Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mgombea wa
Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kabla ya kuhutubia wananchi
waliojitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Kiomboi
Bomani.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Iramba Mhe. Mwigulu Nchemba akihutubia kwenye mkutano
wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi
Kiomboi Bomani.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa shule ya msingi Kiomboi Bomani.
Wakazi wa Kiomboi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiondoka eneo la Mto
Ndulumo baada ya kukagua daraja ambalo kwa sasa halitumiki baada ya
kuathirika na mafuriko ambapo aliwaahidi wananchi wa kijiji cha Msingi
Kidi kuwa daraja hilo litatengenezwa mapema.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa
jimbo la Iramba Mashariki Ndugu Allan Joseph Kiula kwenye mkutano wa
kampeni uliofanyika Nduguti.
Wakazi wa Singa wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269