Afisa
Muuguzi Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam
Mwanne Satara akimsaidia kumuelekeza Lulu Mohamed namna ya kumfunika
nguo Mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia Krismas Dar es Salaam ambapo
akinamama 12 walipata watoto na Mmoja wa akinamama hao alipata mapacha 2
na kufanya watoto wa kiume kufikia 6 na wakike 7, kati yao akinamama
waliofanyiwa upasuaji ni akinamama 10 na kati ya hao watoto njiti 2 na
Hospitali ya Temeke akina mama waliojifungua hospitalini hapo kufikia
idadi ya watoto 12, wakiume 4 na wakike 8 (PICHA ZOTE NA KHAMISI
MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLOG
Afisa Muuguzi wa Zamu wa Hospita ya Mkoa Amana Florensia Ndumbaro akizungumza na waandishi wa Habari (pichani hawapo), Hospitali tumepokea idadi ya watoto waliozaliwa mkesha wa
Krismas ni 33 kati yao 15 ni wakike na 18 ni wakiume na wote wapo
katika hali nzuri na wananyonya vizuri pia mama zao wanaendelea vizuti
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269