Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo
akijiandaa kupiga mpira huku beki wa timu ya KMKM akiwa tayari kumzuiya
wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan
Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1.
Beki wa Timu ya Mafunzo akiondoa mpira golini kwao,
Mshambuliajhi wa Timu ya KMKM na Beki wa Timu ya Mafunzo wakiwania mpira.
Kipa wa timu ya Mafunzo akiokoa mpira ikiwa moja ya shgambulio golini kwake.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269