Breaking News

Your Ad Spot

Dec 29, 2015

KESI YA MTEMVU KUPINGA MATOKEO YA UBUNGE TEMEKE, YAAHIRISHJWA MAHAKAMA KUU, LEO

 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akiteta jambo na wafuasi wake nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, baada ya kesi aliyoifungua ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa jimbo hilo kuahirishwa hadi Januari 22, 2016 Dar es Salaam  (PICHA ZOTE NA UJIJIRAHAA BLOG)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages