Mbunge
Bunge la Afrika
Mashariki, Shy-Rose Bhanji akikabidhi msaada wa vyakula na mahitaji
mengine
kwa Kituo cha kulea watoto yatima Mwandaliwa kilichopo Maeneo ya Mbweni
nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mchango wake kwa
jamii wakati huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Shy-Rose Bhanji, akiwa amezungukwa na watoto hao pamoja na walezi wao wakati akikabidhi msaada huo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269